hanimimitu
Member
- Dec 3, 2012
- 5
- 1
Aliye tayari anitafute
MIMI NI KIJANA WA KIKRISO MWENYE UMRI WA MIAKA 33, NAHITAJI MKE MWENYE SIFA ZIFUATAZO:*awe mkristu mwenye imani sana kwani mimi ni mlokole hasa.*awe na elimu isiyopungua form four .*awe na umri kati ya 20-27.*awe mrefu wa wastani na siyo pungufu ya 4.5 ft*awe mrembo,mweupe wa asili siyo mweusi na awe na umbo zuri hasa hips za ukweli.*awe tayari kupima na kuwa na mimi kimaisha.MIMI NI MREFU WA FT 6, MWEUSI KIASI, NA MWEMBAMBA KIASI,NI MLOKOLE HASA NA SINA MCHEZO NA MASWALA YA IMANI YANGU NAMI NAAMINI KATIKA WAEFESO 5:22-28(tafadhali soma).ALIYE TAYARI ANITAFUTE KWA NAMBA 0652- 750905.

mwe!!! umebugi wewe kuja hapa jf kutafuta mke.
inawezekana kwani usemapo hivyo inaonekana una fahamu uelekeo wenyewe yaani njia sahihi ambayo ni YESU unaijua tayari hio nia ndio inayo wafanyaga watu waokolewe na MUNGU si matendo yao kwani kila mtu kabla hajaokolewa alikutwa na dhambi na ndio maana akaokolewa -hivyo kama wote tulitenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa MUNGU basi tofauti ni NIA zaidi ;pale unapotenda lakini ukatamani usingetenda hiyo ni sababu itakayomfanya MUNGU akutazame na akupe uwezo huo wa KUTOTENDA ambao unautamani-YOU ARE WELCOME DADA!Mhhh hapo kwenye ulokole haswa panatufukuza wengi!!
Kwani hata ambae si mloloke huwezi kumuokosha along the way?