Ameangukia pua.
wala hayupo peke yake....imekula kwa wengi tuu
Ameangukia pua.
inawezekana kwani usemapo hivyo inaonekana una fahamu uelekeo wenyewe yaani njia sahihi ambayo ni YESU unaijua tayari hio nia ndio inayo wafanyaga watu waokolewe na MUNGU si matendo yao kwani kila mtu kabla hajaokolewa alikutwa na dhambi na ndio maana akaokolewa -hivyo kama wote tulitenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa MUNGU basi tofauti ni NIA zaidi ;pale unapotenda lakini ukatamani usingetenda hiyo ni sababu itakayomfanya MUNGU akutazame na akupe uwezo huo wa KUTOTENDA ambao unautamani-YOU ARE WELCOME DADA!