- Thread starter
- #21
Nashukuru mkuu, nitalifanyia kazi.Kama upo Dar, muone Imamu wa Msikiti wa Ngazija (Dar)
Nashukuru mkuu, nitalifanyia kazi.Kama upo Dar, muone Imamu wa Msikiti wa Ngazija (Dar)
Hahahahh policcm wanafyatua risasi kama vichaa,sijui hakuna adhabu za hawa watumishi kupigana hadharani hivi
Nitajitahidi kuacha kuangalia japo ni ngumu
Kaa sababu wewe ni graduate na umeajiriwa serikalini utawapata wengi.
Pia umesahau kusema una gari
Mkuu ukiwa na gari usafiri ni uhakika. Mke anaweza kwend popote anapotaka bila shida. Kama wewe ni mtu wa mahusiana utanielewa tu umuhimu wa gari hata la kuazima mbele ya mwanamkeMkuu gari nalo ni kigezo cha mrembo kukubali ndoa? Likiharibika na gharama za kutengeneza ni kubwa sana ataomba talaka?
Ofcoz, swala la elimu ni moja ya consideration ya muhimu unapotafuta mme/mke. Hakukua na umuhimu wa kueleza kama nin gari.
Mkuu ukiwa na gari usafiri ni uhakika. Mke anaweza kwend popote anapotaka bila shida. Kama wewe ni mtu wa mahusiana utanielewa tu umuhimu wa gari hata la kuazima mbele ya mwanamke
Mkuu mimi nakupa ushauri wa bure. Gari kwa wadada ni kitu kikubwa mno kuliko hata io elimu yako ulioweka hapo.
Najua utabisha ila kwa mtu mwenye uzoefu wa wanawake anajua umuhimu wa kumfata na gari na kumrudisha na gari kwake nk. Sasa wewe ata uwe n phdna huna mkoko ni kazi buree.
Kama una gari sema una gari utawapata kibao mkui trust me
Kama ni matapeli atawapata tu si kashasema yy ni graduate na anafanya kazi serikalini sasa hapo si atawapata kibao.Watakuwa ni matapeli tu wasio na nia ya kweli ya ndoa. Basi ataje na mshahara wake na kwenye bank accounts zake ana balance kiasi gani.
Hadi leo mnatafuta wapenzi kwenye mitandao,...elimu,elimu,elimu!Habari wana JF,
Mimi ni kijana wa kiume, Miaka 30. Graduate, nimeajiriwa serikalini. Naishi DSM. Dini yangu ni Muislam, mimi ni mstaarabu na nina hofu ya Mungu. Sijawahi kuoa wala sina mtoto. Naamini somewhere out there pia kuna mabinti wengi tu wastaarabu kabisa ambao wanatafuta mme mwema ambae watafungua nae ukurasa mpya wa maisha ya ndoa hatimaye wajenge familia, tatizo tu linakuwa how you two get connected.
Sifa za binti.
Umri: 22- 28 yrs
Dini: Muslim
Elimu: Certificate or Diplomal, ukiwa graduate is an added advantage.
Kabila: Lolote, sio ishu sana kwa dunia ya leo
Ajira: Uwe na ajira, au ni mtu ambaye unaweza kuajirika.
Huna mtoto.
Nafikiri sifa nyengine uta zifaham zaidi kadri tutakavyo fahamiana.
Kama una hisi una sifa hizo na upo serious, karibu PM tafadhali. This is a serious Note, jokes aside please.
Hujui matumizi sahihi ya mitandao, sina cha kuku laumuHadi leo mnatafuta wapenzi kwenye mitandao,...elimu,elimu,elimu!
Shukrani kwa ushauriMkuu nakushauri nenda Pemba usiende Unguja nenda pemba hutojuta
Mkuu, mi sitafuti demu wa kupiga tu, natafuta mke atakaye kuja kuwa mama watoto wangu. Huyo mwanamke atakaye nipendea gari hanifai, by the way nime appriciate jinsi unavyotoa hoja zako kistaarabu!Mkuu mimi nakupa ushauri wa bure. Gari kwa wadada ni kitu kikubwa mno kuliko hata io elimu yako ulioweka hapo.
Najua utabisha ila kwa mtu mwenye uzoefu wa wanawake anajua umuhimu wa kumfata na gari na kumrudisha na gari kwake nk. Sasa wewe ata uwe n phdna huna mkoko ni kazi buree.
Kama una gari sema una gari utawapata kibao mkui trust me
Wewe ndio hujui matumizi sahihi ya mtandao,....ndio maana nimekusikitikia,utakao wapata ndio hao hao wenye uelewa mdogo,hadi leo unaona fahari kufanya kazi serikalini,mwanamke gani mwenye akili atahangaika na wewe,...eti awe na diploma na ujinga gani sijui bro badilika aisee,futa tongotongo machoni humo,...hizo degree unazoringia sisi tunazo na tuliisha resign kazi za kitumwa kama unazojitapa hapa,tunafanya mambo yetu...tumieni mitandao kwa akili sio kila kitu mtakipata kwenye mitandao,!... badilikaHujui matumizi sahihi ya mitandao, sina cha kuku laumu
Me nimekaa tu nasubiri bandiko lako njitoseKila la kheri mkuu
Hongera sana mkuu! MtunzeMi nashkuru nimempata anafunga J3 na Alhms.
Ni wanawake wachache sana wenye kufanya hayo.
Thank you broAllah akupe hitaji la moyo shekhe
IdiotWewe ndio hujui matumizi sahihi ya mtandao,....ndio maana nimekusikitikia,utakao wapata ndio hao hao wenye uelewa mdogo,hadi leo unaona fahari kufanya kazi serikalini,mwanamke gani mwenye akili atahangaika na wewe,...eti awe na diploma na ujinga gani sijui bro badilika aisee,futa tongotongo machoni humo,...hizo degree unazoringia sisi tunazo na tuliisha resign kazi za kitumwa kama unazojitapa hapa,tunafanya mambo yetu...tumieni mitandao kwa akili sio kila kitu mtakipata kwenye mitandao,!... badilika
ShukraniAllah akupe hitaji la moyo shekhe
Laughing Stock.....Habari wana JF,