Natafuta mke kiukweli

Chamchella hakuna mapenzi ya kweli kwenye izi social network mkuu, Omba Mungu wako akusaidie tu. Kipi ambacho kita kufanya uhisi ni mwanamke sahihi kwako na mnaendana, je? ni avatar na user name fake? Nakuombe Mungu wangu akusaidi kwasababu naamini katika mapenzi ya kweli. Na umri wako ukipata pasua kichwa utakufa mapema ndugu yangu na stres
 
Last edited by a moderator:

Mheshimiwa noahism,mbona nimepata kusoma shuhuda kadhaa za members humu waliopata waume/wake kupitia Jf?
 
Last edited by a moderator:
Eliah G Kamwela ni kweli watu wanatoa shuhuda kua wamepata wake wema, na inawezekana pia kupata mke mwema humu. Lakini ninacho tazama posibility ya kupata mke mwema humu ni asilimia ndogo sana ndugu, hasa kuna umli ukifikia hutakiwi fanya makosa katika swala ndoa, inaweza ku mgharimu mtu, assume una miaka 45 umepata pasua kichwa ivi inakuaje? Tuwaombee wenzetu wapate wake wema, siku za hivi ndoa nyingi zinavunjika na kua katika migogoro kutoka na mapenzi ya kubahatishana.
Mheshimiwa noahism,mbona nimepata kusoma shuhuda kadhaa za members humu waliopata waume/wake kupitia Jf?
 
Last edited by a moderator:
mimi nimekuuliza nina miaka 36+ ninaruhusiwa kuapply? hunijibu
 
Umri mzuri sana huo ndugu yangu, wala hautapata shida kupata mchumba, naona uko chini kidogo ya Le Mutuzi, na yeye totoz kibao za Ukwe zinamgombania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom