Natafuta mke, Awe na sifa hizi

Aiseeh naona kwenye swala la elimu umetutupa nje, tufikirie na sisi wa darasa la saba
 
Habari wana love connect......
Natafuta mke wa kuoa serious;sifa zangu
-Age 29
-Kazi Mwajiriwa
-Elimu Degree ya kwanza
-Dini Mkristo
-Makazi Dar es salaam

sifa za mke nimtakaye
-Age 20-28
-Kazi ata asipokua nayo sawa tu,
-Elimu Certificate,Diploma,Degree, Masters,PHD
-Dini mkristo
-Makazi popote Tanzania.

Nakaribisha PM jamani,karne hii familia zinaanzia popote ata kwenye daladala watu wanatongozana na wanaoana.
jamani bado tu, sifanikiwa.........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom