Dr. Zaganza JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 1,764 Reaction score 2,683 May 3, 2017 #1 Habari zenu wakuu. Ninahitaji mkaa wa kupikia kiasi kikubwa kuanzia gunia sita kwa mwezi.Mkaa ninauhitaji ni ule uliotengenezwa kwa maranda ya mbao au material mengine makavu, maadamu usitumie miti. Namba: 0713-039875
Habari zenu wakuu. Ninahitaji mkaa wa kupikia kiasi kikubwa kuanzia gunia sita kwa mwezi.Mkaa ninauhitaji ni ule uliotengenezwa kwa maranda ya mbao au material mengine makavu, maadamu usitumie miti. Namba: 0713-039875
mtimkav JF-Expert Member Joined Aug 28, 2013 Posts 1,034 Reaction score 662 May 4, 2017 #2 Mkuu nitafute week ijayo nikuuzie namaliza kukausha 0718112243
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 8,658 Reaction score 15,814 May 4, 2017 #3 Mi ninao mkaa wa kinyesi. Ila ukiugua kipindu pindu usintafute!