nkungu mwere
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 258
- 336
Naomba msaada kwa mdau yeyote anayejua inavyopatikana au inapochapishwa mifuko ya kuwekea unga,mchele,maharage yenye nembo yangu, nataka vifungashio vyenye nembo yangu kwa kuwekea mchele kuanzia kg 25, 50, 10 na ile ya nailoni mfani wa ile ya sukari kwa ajili ya kg 1, 2, 5/, kumbuka kg 50, 25, 10 ni saflet na 1, 2, 5, ni nailoni.
Natanguliza shukurani zangu
Natanguliza shukurani zangu