Natafuta mhudumu wa counter bar jinsia ya kike

Hongera mkuu kwa kujitolea kupunguza tatizo la ajira kwa vijana wetu nchini. Naamini utampata tu. Uzuri umeweka na mawasiliano.

Hivyo ni rahisi kuwapata hata wale wajumbe wanao ingia JF kama wageni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom