Mfanyakazi anahitajika

berylyn

JF-Expert Member
Dec 26, 2021
863
2,534
Natafuta mfanyakazi wa kuuza na kuhudumia katika Grocery/bar.

๐Œ๐š๐ฃ๐ฎ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ฎ.
โ€ข Atauza vinywaji na kutoa huduma Kwa wateja.
โ€ข Kufanya hesabu na kutunza kumbukumbu.
โ€ข Kuorodhesa vinywaji vilivyokwisha Kwa ajili ya manunuzi.
โ€ข Atafanya Kazi Kwa siku 5 za wiki.


๐’๐ข๐Ÿ๐š ๐ณ๐š ๐ฆ๐ฐ๐จ๐ฆ๐›๐š๐ฃ๐ข.
โ€ข Awe na elimu kuanzia darasa la saba
โ€ข Awe na uzoefu Kazi ya bar
โ€ขMuombaji awe wa jinsia ya kike , mkazi wa Dar es salaam maeneo ya Tegeta, Goba na Madale, wenye ujuzi wa kuuza bar counter na kutengeneza cocktail na mocktail watapewa kipaumbele.

MUHIMU
โ€ข Wasiliana nasi kwa WhatsApp namba .
โ€ข Elezea uzoefu wako katika kazi.
โ€ข Tuma picha yako full kwa ajili ya utambulisho.

๐Œ๐š๐ฅ๐ข๐ฉ๐จ.
โ€ข Mshahara 120,000 Kwa mwezi .
 
Uchawi 120,000 vinginevyo, kila kitu mzuka.
Kipengele, kukaa counter na kuhudumia wateja,
Yule dada aliyetoka mwanza mumtag vijana wangu apate ajira. Maana yule popote kambi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom