Mfanyakazi anahitajika

Patrick pk

New Member
Nov 8, 2023
4
1
Natafuta mfanyakazi wa kuuza na kuhudumia katika Grocery/bar.

๐Œ๐š๐ฃ๐ฎ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ฎ.
โ€ข Atauza vinywaji na kutoa huduma Kwa wateja.
โ€ข Kufanya hesabu na kutunza kumbukumbu.
โ€ข Kuorodhesa vinywaji na Kufanya manunuzi
โ€ข kusaidiana na msimamizi shughuli za ofisi
โ€ข Atafanya Kazi Kwa shift ya siku 5

๐’๐ข๐Ÿ๐š ๐ณ๐š ๐ฆ๐ฐ๐จ๐ฆ๐›๐š๐ฃ๐ข.
โ€ข Mschana umri 18 - 28
โ€ข Awe na elimu kuanzia darasa la saba
โ€ข Awe na uzoefu Kazi ya bar ( sio lazima )

-Barua ya utambulisho kutoka serikal za mitaa

๐Œ๐š๐ฅ๐ข๐ฉ๐จ.
โ€ข mshahara 120,000 Kwa mwezi au akiamua Kwa Kila shift akitoka atapata 37,500

Benefits chakula Cha mchana na sehemu ya kulala

โ€ขMahali ya Kazi ni Ilala Boma, Dar es salaam.

๐“๐ฎ๐ฆ๐š ๐ฆ๐š๐จ๐ฆ๐›๐ข Kwa kutext 0625961241.
 
kwa kila shift maana yake nn
 
  • Kicheko
Reactions: EEX

Similar Discussions

Back
Top Bottom