Tangazo la Kazi (Ruvuma-Songea)

Msafiri Haule

Member
Aug 6, 2018
28
18
Kuna uhitaji wa kupatikana kwa watu wawili. Wote hao, huitajika Songea, katika Pub.

01. Counter
Anaweza kuwa wa kike au wakiume. Elimu at least, form 4 na kuendelea.

02. Mhudumu wa Vinywaji,
Anatakiwa awe wa Kike (Presentable)

Mshahara
Counter, Tsh 70,000/= wakati Mhudumu, 60,000/=.

Chakula na Malazi ni juu ya mwenye Pub.

Wote hao, huitajika mapema iwezekanavyo, kabla ya tarehe 1/11/2023.

Mawasiliano, 0758059818.
 
Back
Top Bottom