Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,544
- 12,242
Simu yangu imepasuka mfuniko wake kwa anayejua inapatikana wapi aje PM tuyajenge
Niko mwanza mtaa wa Mwananchiukovwap wewe
Aaahh nimemuuliza jamaa kumbe upo mbali,Znz kauachaNi
Niko mwanza mtaa wa Mwananchi
Wana bei ganiAgiza Dar nadhan k.koo huwezi kukosa