Natafuta mfugaji wa kuku wa mayai

Natafuta mfugaji wa kuku wa mayai

Blackman

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
858
Reaction score
343
Habari za mihangaiko wadau
Bila kupoteza muda wakubwa na wadogo zangu mimi kama kijana mwenzenu naomba msaada
Kwa yeyote anayemjua mfugaji wa kuku wa mayai anifahamishe. Kinachohitajika ni mayai, nahitaji mayai kwa ajili ya kuuza jumla jumla. Nahitaji kutoka kwa mkulima si kwa dalali.
Nipo moro mjini, itakuwa poa kama mkulima atakuwa Morogoro au Pwani

No:0715633900
 
Back
Top Bottom