Natafuta mfanyakazi wa ndani

Natafuta mfanyakazi wa ndani

Prezda

Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
61
Reaction score
9
Namtafuta mfanyakazi wa kulisha mifugo pamoja na kazi za ndani awe wa kiume eneo la kazi Rorya mshahara: makubaliano mawasiliano: 0768594351
 
Mbona umenikaushia? Akati ulisema niwashe sim jioni?
 
jamani pelekeni ndugu zenu rorya....eti mkuu si hamna uhitaji wa edukesheni hapa au cheti kinahitajika na uzoefu??
 
namtafuta mfanyakazi wa kulisha mifugo pamoja na kazi za ndani awe wa kiume eneo la kazi Rorya mshahara: makubaliano mawasiliano: 0768594351

Mfanyakazi wa ndani - kulisha mifugo na kufanya kazi za ndani unatangaza kwenye JF, unatarajia mtu mwenye uwezo wa kuingia JF aombe na kufanya kazi hiyo ? Labda kama amejiajiri mwenyewe.
 
Mkuu mbona mimi ndio kazi ninayoifanya hiyo hapa dar na nipo JF, maslahi ndio suala la msingi Jina la kazi mbwembwe tu!
 
Mtoa nafasi msaidie jamaa hapo juu anaitaji kazi hiyo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mkuu mbona mimi ndio kazi ninayoifanya hiyo hapa dar na nipo JF, maslahi ndio suala la msingi Jina la kazi mbwembwe tu!

Sasa unapika, kulisha wanyama na kudeki nyumba muda gani kama muda wote unashinda JF !!!
 
Kwanza mimi sishindi JF, nashinda kwny ajira yngu! Wanaoshinda JF ni mods labda na wewe kwasababu ulivyojielezea inaonekana uko likizo ya kumaliza form6, wengi wa wanaJF ni watu wenye ajira au shughuli zao hvyo usione watu wakipost ukahisi wamelala kitandan kama ww!!!!
 
Namtafuta mfanyakazi wa kulisha mifugo pamoja na kazi za ndani awe wa kiume eneo la kazi Rorya mshahara: makubaliano mawasiliano: 0768594351

Nenda shelui singida wamejaa kibao
 
Iyo umeambia niajiri mimi hapa ya naweza zote kama kuna mshara waukweli ni check tena kama vipi 0685816103
 
mfanyakazi wa ndani - kulisha mifugo na kufanya kazi za ndani unatangaza kwenye jf, unatarajia mtu mwenye uwezo wa kuingia jf aombe na kufanya kazi hiyo ? Labda kama amejiajiri mwenyewe.

tena sehemu yenyewe rorya ukimuuzi bossi sikio linakatwa
 
Kwanza mimi sishindi JF, nashinda kwny ajira yngu! Wanaoshinda JF ni mods labda na wewe kwasababu ulivyojielezea inaonekana uko likizo ya kumaliza form6, wengi wa wanaJF ni watu wenye ajira au shughuli zao hvyo usione watu wakipost ukahisi wamelala kitandan kama ww!!!!

Ukweli unauma eee, mbona unatoa mapovu kama ni kweli unashinda huko. Afadhali mimi niliyemaliza form six, nasubiri kuingia VETA ili nipate ujuzi wa kujiajiri kuliko wewe uliyemaliza darasa la nne kuishia kuwa Yaya, akili imedumaa unatoa matusi tu.
 
mfanyakazi wa ndani - kulisha mifugo na kufanya kazi za ndani unatangaza kwenye jf, unatarajia mtu mwenye uwezo wa kuingia jf aombe na kufanya kazi hiyo ? Labda kama amejiajiri mwenyewe.

hapa labda anataka tumsaidieh
 
Ukweli unauma eee, mbona unatoa mapovu kama ni kweli unashinda huko. Afadhali mimi niliyemaliza form six, nasubiri kuingia VETA ili nipate ujuzi wa kujiajiri kuliko wewe uliyemaliza darasa la nne kuishia kuwa Yaya, akili imedumaa unatoa matusi tu.

Acha kupanic dogo, wap umetukanwa?! Kwa akili yako ilivyo mgando i doubt hata hizo passmarks za kuingilia Veta utazipata kwel! The good thing is, hapa nilipoajiriwa wanahitaj mlinzi mwngne so ukishatoka jkt nitafute,ila kuwa makin na zoezi
 
Nimetukanwa hapa.......Kwanza mimi sishindi JF, nashinda kwny ajira yngu! Wanaoshinda JF ni mods labda na wewe kwasababu ulivyojielezea inaonekana uko likizo ya kumaliza form6, wengi wa wanaJF ni watu wenye ajira au shughuli zao hvyo usione watu wakipost ukahisi wamelala kitandan kama ww!!!!

Lakini hata hivyo, nikitoka J.K.T nitajiunga na JWTZ, hiyo kazi yako ya ulinzi endelea nayo, siwezi kumlinda mtu amelala ndani yeye na mke wake, pia sina mwili wa kupigwa nondo na vibaka au majambazi. Wewe endelea kulinda, kama kweli huna akili mgando kwa nini usilinde nyumbani kwako ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom