Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 1,355
- 2,000
Mimi nipo dodoma, nimehamishiwa kikazi. Natafuta mfanyakazi wa ndani ambaye nitakuwa naishi naye kwangu. Awe na umri wowote. Ntamlipa vizuri tu. Tuwasiliane through 0713 611 842. Asanteni.
Wewe manaume au mwanamke? Umeoa/umeolewa? Uko na familia au?
Mshahara unafikiri unaweza kuwa kiasi gani
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us