Natafuta mfanyakazi wa ndan wa kike. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mfanyakazi wa ndan wa kike.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Anita Baby, Apr 24, 2012.

 1. Anita Baby

  Anita Baby JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 1,202
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Awe amehitim darasa la 7, msichana, mtiifu na mnyenyekevu. Utaish na ku2nzwa km sehem ya familia. Malipo maelewano.
   
 2. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Nina mdogo wangu kamaliza form four hakufai?
   
 3. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kuwapata siku hizi ni tabu kweli, wapo kwenye shule za kata.
   
 4. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Mimi ninaye. Nataka nijue kuhusu matibabu akiugua? Kima cha chini? NSSF?
   
 5. s

  sexon2000 JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Afya yake mgogoro nini? Au umembemenda?
   
 6. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Matibabu muhim sana mtu akiugua. Ndio maana kuna bima ya afya nk
   
 7. Anita Baby

  Anita Baby JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 1,202
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  nitamtibu ni juu yangu. Uko wap?
   
Loading...