Natafuta mfanyabiashara wa vipodoz vya jumla Arusha Mjini

Boeing787-8

JF-Expert Member
Aug 16, 2018
488
1,000
Hi wakuu, nimejiajiri nauza various products.

Nilinunua duka ambalo aliyekuwepo alikuwa anauza na vipodozi, kwakua sio mwenyeji Sana Arusha mjini,natafuta mtu wa kuwa mteja wangu ambaye ntakuwa nanunua kwake.

Kama Kuna mtu anauza vipodozi, Arusha mjini aje, tufanye bihashara
 

kedekede

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
4,850
2,000
Kuwa makini na vipodozi unaponunua mkuu,usije ukauziwa visivyotakiwa.Kuwa makini na majizi ya Arusha,Matapeli ya Arusha,Vibaka wa Arusha na Majambazi ya Arusha.Ukiweza hamisha Duka Kbisa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom