ningeweza fanya hvyo lakin tatzo simu yangu haina uwezo wa kutuma na ku-upload mods na hata photo ila naomba nieleweke tu kwa yeyote atakaekuwa tayari anambie halafu nimtafute then ntamuwasilishia uthibitisho
msaada wowote ule kama kunipeleka shule na kunifadhili mpaka nihitimu masomo yangu au kunichangia kiasi cha hela kwa ajili ya ada vyovyote nipo tayari.