Natafuta Mercury, Kwa Aliyenayo Tafadhali Tuwasiliane!!

Natafuta Mercury, Kwa Aliyenayo Tafadhali Tuwasiliane!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,890
Reaction score
29,696
Wakuu kama unauza au unajua inapopatikana tafadhali tuwasiliane,.



Nipo Dar ila hata kama uko mkoani hakuna tatizo bado tutaweza kufanya Biashara!!


Karibu.
 
Unataka Mercury ipi, ile Nyeupe (Silver) au Nyekundu?
 
Huyu hajui anachotaka, toa maelezo ya kutosha mkuu...
 
Huyu hajui anachotaka, toa maelezo ya kutosha mkuu...

mkuu mbona maelezo yako clear?

Kama unayo mercury tuwasiliane, mercury yoyote unayoijua wewe as long as ni mercury,.
 
Wizi Mtupu hapa kuweni makini wazeee mtaibiwa hii biashara ni ya magumashi huyu anajifanya anataka mercury mtu utaingizwa kingi kwamba kuna mtu anayo cha msingi anayehitaji atatangaza dau kubwa we utaingia tamaa kununua wakati Mnunuzi akishirikiana na tapeli kukuibia utaambiwa utoe hela nusu hata mil4 na tapeli atoe mil4 ukishatoa tu umenunua mchuzi wa ubuyu au mirinda nyekundu.
 
mkuu mbona maelezo yako clear?

Kama unayo mercury tuwasiliane, mercury yoyote unayoijua wewe as long as ni mercury,.

mercury ipo kama umejiandaa nitafute, nahitaji unirishie tigo pesa niwatumie nauli wanajeshi wawili wapo ngerengere wailete. deal?
 
Wizi Mtupu hapa kuweni makini wazeee mtaibiwa hii biashara ni ya magumashi huyu anajifanya anataka mercury mtu utaingizwa kingi kwamba kuna mtu anayo cha msingi anayehitaji atatangaza dau kubwa we utaingia tamaa kununua wakati Mnunuzi akishirikiana na tapeli kukuibia utaambiwa utoe hela nusu hata mil4 na tapeli atoe mil4 ukishatoa tu umenunua mchuzi wa ubuyu au mirinda nyekundu.

mkuu mbona una kasi ya ajabu sana, mbona umewaza kutapeliwa mapema hivi?

Hivi wewe unaweza kufanya biashara kubwa na mtu kweli?
 
mkuu mbona una kasi ya ajabu sana, mbona umewaza kutapeliwa mapema hivi?

Hivi wewe unaweza kufanya biashara kubwa na mtu kweli?
acha kutokwa povu mimi nimekwambia ninayo mbona unaskip unamdandia mwingine?
 
Duuh watu wanajua kupiga fix!!
..mimi mdogo Wangu( Pius) yuko Geita kwenye machimbo ,mercury zinapatikana nyeupe( silver) tu. Nyekundu hakuna, chache tena zinapatikana kwa mamilioni, na zinatumika jeshini na wachache wanazo madaktari bingwa kwenye mahospital makubwa..
Zinaagizwa kutoka Zambia& Congo..
Imagine nusu kilo ( ukubwa wa kisoda ni 200M)... je unazo nikuunganishe na mtu / broker?
... kwa mercury nyeupe tu nicheki apa whatsspp 0755 927881
 
mercury yakukamatia dhahabu sawa ils hiyo nyingine no wayy
 
Niliwahi kuiona kwa macho walishikwa nayo wakongo mpakani mwa kongo na burundi ilikuwa kwenye kichupa kidogo na nzito ajabu wakatoa rushwa wakaachiwa baada ya hapo nasikia stori tu na wengine kutapeliwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom