Natafuta Mdhamini

Investaa

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
810
712
Habari wa JF, kama kichwa cha habari kinavyojielezea natafuta mzamini wa ku support majarida ya kidini kwa kufanyikisha kuprintiwa kwa kusudi kutoa elimu ya kidini kwa watu. Sio mzuri sana kuelezea ila nadhan mtakuwa mmeeleza ninachotaka kufanya. Kama kuna mtu anajua ntapata mzamini wap naomba usisite kunielekeza.

Asanteen
 
Back
Top Bottom