Natafuta mdhamini kwa ajili ya kurekodi nyimbo.

Natafuta mdhamini kwa ajili ya kurekodi nyimbo.

UZZIMMA

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
414
Reaction score
483
Mimi ni mtunzi na muimbaji mzuri wa nyimbo za kizazi kipya. Natafuta mdhamini anidhamini, kuanzia kurekodi n.k. Atayejitolea nitamruhusu anifanyie usahili kwa ajili ya kunipima uwezo wangu.

N.B. Sijawahi kwenda studio hata mara moja.


mudiduladula@gmail.com
 
Back
Top Bottom