chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 338
Bora umwambie mkuu, hawa ndio wanaotesa na kunyanyasa wadada wa kazi,. Elfu30????? Shiiiit.Haupo serious wewe elfu30? Mimi mdada anayenisaidia namlipa elfu 90 tena hakai anafanya usafi na kuondoka tuu cause sina familia.
Huu ndio ujinga kutaka kila mtu afanane na wewe! Shauri kistaarabu sio kuonesha wewe unalipa kiasi gani sababu kila mtu akisema anawalipa house maids wao kiasi gani utafuta hiyo bhange yako soon!Haupo serious wewe elfu30? Mimi mdada anayenisaidia namlipa elfu 90 tena hakai anafanya usafi na kuondoka tuu cause sina familia.
Kabisa mkuu zama hizi za 2017 mtu anataka kumnyanyasa mtoto wa watu kwa elfu 30, tuwe na huruma jamani hawa ni binadamu kama sisi tena wanatusaidia kazi nyingi sana.Bora umwambie mkuu, hawa ndio wanaotesa na kunyanyasa wadada wa kazi,. Elfu30????? Shiiiit.
Soma kiini cha mada we lofa, acha kukurupuka.Huu ndio ujinga kutaka kila mtu afanane na wewe! Shauri kistaarabu sio kuonesha wewe unalipa kiasi gani sababu kila mtu akisema anawalipa house maids wao kiasi gani utafuta hiyo bhange yako soon!
Weee huna akili kabisa wala sitaki kujibishana na wewe,hujui chochote, huna uchungu na binadamu wenzio na inaonesha hujawahi kukutana na majukumu ya namna hii, nyie ndyo kula na kulala kwa baba na mama.Huu ndio ujinga kutaka kila mtu afanane na wewe! Shauri kistaarabu sio kuonesha wewe unalipa kiasi gani sababu kila mtu akisema anawalipa house maids wao kiasi gani utafuta hiyo bhange yako soon!
Mkuu Emma achana nae huyoo hajui chochote kuhusu maisha.Soma kiini cha mada we lofa, acha kukurupuka.
Bado hajaenda kununua nazi sokoni,tena ukichelewa utasemwa mwaka mzima na bado anataka kula on time,mamaee bora nitembeze mbogambogaHapo kitoto chako kimejinyea akichambishe, kudeki, vyombo, kupika, kufua, kufagia, migombezo kibao nk. Kwa Elfu30 tena kwa huu usawaww ungeweza?