Natafuta mdada wa kazi za ndani

chichimizi

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
1,074
338
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu


Natafuta mfanyakazi wa NDANI pls....

Masharti
1. Awe na umri usiopungua miaka 17 na usiozidi 19 au 20.

2. Asiwe ametoka kumaliza darasa la saba mwaka huu

3.Asiwe anatoka mjini na awe tayari kutumia nauli yake mpaka kufika nilipo.

Mshahara ni 30 elfu
Kazi kubwa ni usafi wa ndani na mtoto
 
Haupo serious wewe elfu30? Mimi mdada anayenisaidia namlipa elfu 90 tena hakai anafanya usafi na kuondoka tuu cause sina familia.
Huu ndio ujinga kutaka kila mtu afanane na wewe! Shauri kistaarabu sio kuonesha wewe unalipa kiasi gani sababu kila mtu akisema anawalipa house maids wao kiasi gani utafuta hiyo bhange yako soon!
 
Huu ndio ujinga kutaka kila mtu afanane na wewe! Shauri kistaarabu sio kuonesha wewe unalipa kiasi gani sababu kila mtu akisema anawalipa house maids wao kiasi gani utafuta hiyo bhange yako soon!
Weee huna akili kabisa wala sitaki kujibishana na wewe,hujui chochote, huna uchungu na binadamu wenzio na inaonesha hujawahi kukutana na majukumu ya namna hii, nyie ndyo kula na kulala kwa baba na mama.
 
Elfu 30!!!! mkuu acha utani basi, mimi nina mdada anakuja na kuondoka na sina mke wala watoto namlipa 80+, ongeza ongeza angalau 50-60 utampata tu.
 
Mleta mada atakuwa ni wale wamama wa nyumbani ambao akiamka tu anawahi kwa jirabi kupiga umbeya huku kila kitu akimwachia house girl!

Elfu 30? Maviii
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom