Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Hapo na wewe umecheza ile ile ya "quid pro quo", something for something!

Bia kwanza namba baadae! Umepata mama, sema ikufikieje tu.
Tukutane kumekucha tupate na mguu wa mbuzi kwa ajili ya kusindikizia maongezi yetu
 
Usiwe mjinga hili ni jukwaa la siasa. Nenda katafute mchumba sehemu nyingine hapa umebugi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom