Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Tufanye mdogo wake ana miaka 25.
Hivyo 25-12=11, hii ina maana mdogo wake aliolewa akiwa na umri wa miaka 11, kwa hiyo hata shule ya msingi mdogo wa mtu hakumaliza wakati dada yake anasema ana Masters. Mmmmhhhh hili changa la macho.

Mambo mengine kujidhalilisha tu, hata kama tunatumia fake ID lakini kunamambo mengine mtu inabidi ujiongezee, kupenda sifa kubaya sana.
 
Mkuu Tyta unatunza kumbukumbu mno kwani wengi wanabaki kuhaibika na post za uongo.
 
Last edited by a moderator:
Asiwe na mtoto?.Kwani wewe utazaa naye nini?.Hutaki kulea mtoto wa mwanamke mwenzio?.How sure you kuwa wewe watoto utakao zaa nao utawatunza hadi ustaafu?.Ukiondoka mapema na wenyewe wanyanyapaliwe?
 
Asiwe na mtoto?.Kwani wewe utazaa naye nini?.Hutaki kulea mtoto wa mwanamke mwenzio?.How sure you kuwa wewe watoto utakao zaa nao utawatunza hadi ustaafu?.Ukiondoka mapema na wenyewe wanyanyapaliwe?

Kama mama kafa hilo ni tatizo tofauti lakini kama yupo hai kwanini asimwoe mwanamke aliyezaa naye.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom