tamsana
Platinum Member
- Jan 13, 2012
- 3,830
- 8,246
vigezo ninavyo tatizo umriMimi ni binti wa miaka 26 elimu yangu ni masters nimeajiliwa serikalini sina mtoto. nahitaji mume kuanzia miaka 30-35. Awe mkristo mwenyehofu na mungu, elimu kuanzia degree na kuendelea, mrefu mweusi asiwe na mtoto. Karibuni.