Kaplizer
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 726
- 597
miaka 23 unataka kuoa????
ulitaka aoe na miaka 100?
miaka 23 unataka kuoa????
ulitaka aoe na miaka 100?
Naitwa Geofre wa Mbeya
nna miaka 23 natafuta mchumba wa kuoa mwenye sifa zifuatazo,awe maji ya
kunde,mnene kiasi,mrefu kiasi,awe na mapenzi ya kweli pia awe anajali
upendo wake.kuhusu mimi nna elimu ya kidato cha nne,ni mwemba
kiasi,mrefu kiasi,ngozi maji ya kunde kazi yangu ni mtu wa marketing
katika kampuni ya mtandao wa mawasiliano wa MILCOM LTD (MIC) ujulikanao
kama Tigo Tanzania.Kwa atakaye jisikia anitafute kwa namba 0655753472,au
0656043636.
Kuoa kunataka experience, at 23 back ila kma anataka mwanamke wa kukaa naye atampata
Naona nazeeka sasaaaaaa
Dogo subiri ukomae kuishi na hawa viumbe kwa umri wako...jiandae kwenda kumsema kwa mama.
Mbali!
at least 25/6 na kuendelea, but 23 jamani bado ananuka maziwa kabisaaa.. nikinuna na yeye ananuna.
mbona unatoka povu mkuu??? soma previous posts
Nipo tabora,sijawahi fika mbeya sijui umbali wake
Mtazamo wako huu kwa hakika umeujenga kutokana na fikra mgando zenye kushinikizwa na usasa au Utanzania uliokosa maarifa...
Mwanaume anayejielewa na aliyejijenga ama kujengwa kifikra, kiuchumi na kielimu (japo si muhimu sana) na mwenye kufikia umri wa kisheria kuweza kushiriki tendo la ndoa...mwanaume huyu yu tayari kuweza kuoa na kutunza familia.
Wakati leo hii unataja umri wa miaka 25/26 kuwa sahihi, miongo michache iliyopita mwanaume wa umri huo alikuwa na familia kubwa tu bomani.
Ukiacha hilo, katika nchi zilizoendelea mwanaume wa umri huu wa miaka 23 unaouona ni mdogo kwa mtazamo wako, anahesabika kama ni mpevu wa kuweza kuwa na familia.
Hivyo suala la umri sahihi wa kuoa ni suala mtambuka, halizingatii matakwa ya mtu au kikundi fulani cha watu pekee.
Ni jambo ambalo linahitaji utayari, na pia utimizwaji wa mambo yale niliyoyabainisha pale juu..
Nipo tabora,sijawahi fika mbeya sijui umbali wake
Wadau kwangu mimi uchumi si tatizo isipokuwa tatizo linalo fanya nitafute mchumba na kuoa nikuhusu usimamizi wa mali zangu nyumbani pamoja na baadhi ya vitega uchumi imekuwa tatizo maana nimeajiri watu wananiibia kwasababu niko bize na kazi muda mwingi ndo maana nika amua kufanya maamuzi kama haya maana maisha ya upweke nayo ni gumzo nyumba kubwa unaishi peke yako ni shida but nashukuruni kwa maoni wana Jf wenzangu kama nakosea mnambie wakubwa zangu but hayo ndo maamuzi yangu na sababu ndo kama nvo ielezea maana coment nyingi nimesoma zinauliza miaka 23 unataka kuoa? ila tuko pamoja wakubwa mi kuhusu utafutaji nsha wekeza so kwangu si shida sana.Siku njema wadau.
Bora uoe utulie, utakuja amua utafte kahaba ili kuondoa hamu utaambulia ukimwi mdogo wangu.
UTOTO MWISHO MIAKA 18