Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Wadau kwangu mimi uchumi si tatizo isipokuwa tatizo linalo fanya nitafute mchumba na kuooa nikuhusu usimamizi wa mali zangu nyumbani pamoja na baadhi ya vitega uchumi imekuwa tatizo maana nimeajiri watu wananiibia kwasababu niko bize na kazi muda mwingi ndo maana nika amua kufanya maamuzi kama haya maana maisha ya upweke nayo ni gumzo nyumba kubwa unaishi peke yako ni shida but nashukuruni kwa maoni wana Jf wenzangu kama nakosea mnambie wakubwa zangu but hayo ndo maamuzi yangu na sababu ndo kama nvo ielezea maana coment nyingi nimesoma zinauliza miaka 23 unataka kuoa? ila tuko pamoja wakubwa mi kuhusu utafutaji nsha wekeza so kwangu si shida sana.Siku njema wadau.

Mkuu kwanza nikupe pole kwa kuwa mpweke, ila njia unayotumia kutafuta au kuondoa upweke hapa ndipo shida inapoanzia,,

Huu usumbufu unaousema ni rasharasha sasa tafuta humu watakuja wengi mpaka utashindwa kuchagua, ila sasa mgogoro utakapoanza kuishi nao, kunasiku utaleta mada hapa ya nifanyeje nmuache huyu mke??

Sabab ndogo nnayo kupa utamwamini?? Je unajua amekutana na wa2 wangapi?? Unafaham kwa nin kakupm? Je atakuwa na mlengo kama wako??

N vyema kuwanna tahadhari kubwa, hata hvyo maelezo yako n kivutio tosha kwa akina dada maana wanapenda kutengenezewa ili wafaidi kwa urahisi. Kila raheri mkuu
 
ushaur murua sana. Umeongea kitu uzima na ki gt kweli
 
Haaaaa inawezekana bana kwan lazima uwe na nyumba ndo uoe? ndomana siku hizi wanaangalia km huna kiwanja unio alafu baadae wanasumbua watu jaman upwekeeee si uligoma mwenyewe
Hata mimi nimejiuliza.........pesa katafuta saa ngapi........maisha kala saa ngapi......
 
nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri mkuu.. au na wewe utakua early 20's ndo mana povu linakutoka. 23 kwa mwanaume bado ni mtoto kiumri na kiakili

Endelea kuwa na wasiwasi...mara zote mshindwa hoja hukimbilia kwenye matusi.
 
ainisha tusi kwenye statement yangu

Unatambua matumizi ya neno ainisha?

By the way ulikuwa na ulazima gani wa kutumia maneno kama "kutokwa povu" n.k...

Je kuna mahali popote nilipokukejeli katika kujibu post yako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom