Texas Tom.
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 510
- 273
Majibu yako yanaweka uchi ubongo wako...hivi nyie si ndo wale wachoma cd mtaani?Nimechoka kutafutwa nimeamua kuweka mlango wazi mwisho tarehe 15 mwez huu, swala la kula unakuja kwangu kwania unanjaa au kukutana na mm tupange maisha yataendaje?? halafu we unaesema majini majini yapo hukoo baharini sio hum jamvini na anedhan sijabarehe naona yy ndo mtoto kwa kua hapa ndo mahara pake alitaka nipeleke jukwaa la siasa hata kwake inaonesha anaweza weka sahani za chakula uvinguni mwa kitanda na viatu kwenye kabati la nguo nadilikeni vijana .Mnapenza wachumba na gharama hamtaki basi muoe wapenzi wenu muishinao kwa baba zenu nadhan nimrjib hoja zenu zote kwa ufupi