Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,822
Ni PM Mbuzi
sijui utaweza kukabili mdomo wake mchafu...
Anamatusi hatari...Jukwaa la malalamiko kuna mtu kamwongelea huyu...
Ni PM Mbuzi
wikiend tutatoka wote????
wikidays unarudi muda gani home???
unakunywa kila siku????
tukishapata watoto marufuku kuweka katika jokofu pombe???
MIMI SINYWI NA SITAKI UNIFUNDISHE
wikiend tutatoka wote????
wikidays unarudi muda gani home???
unakunywa kila siku????
tukishapata watoto marufuku kuweka katika jokofu pombe???
MIMI SINYWI NA SITAKI UNIFUNDISHE
Usijali mpenzi kwa hilo masai dada mie situmii kilevi cha aina yeyote weekend mara nyingi naitumia kufanya ibada na kupumzika either beach au home
hujapata mtu cz mdomo huooo...unatema matusi kama unatafuna bisi
am watching you!
sijui utaweza kukabili mdomo wake mchafu...
Anamatusi hatari...Jukwaa la malalamiko kuna mtu kamwongelea huyu...