Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Nina miaka 23, niko mwaka wa kwanza wa stashahada ya ualimu, natafuta mchumba mwenye umri chini ya miaka 22 ambaye hajali uwezo na kipato cha mtu.
Sibagui rangi ya ngozi whether albino or not, muhimu, awe na mapenzi ya dhati na anayejali na pia awe na uamzi wa hakika na siyo kuchezea akili zangu.
Elimu yake iwe kidato cha nne kushuka chini. Dini awe mkristo au mwislamu aliyetayari kubadili dini.
Aliye tayari anitumie namba zake au email kupitia PM tuwasiliane.

We mtoto bado unanuka maziwa eti na wewe unatafuta mchumba?
Yajue kiundani maisha kwanza ndio uanze kuhangaika na majanga.
 
Dogo, naona umekuja eneo ambayo hutawakuta! Ukipata hata pm shukuru Mungu!
 
Aise nina beki tatu wangu anataka kuolewa elimu yake ni std 7 je upo tayari nikuunganishie fasta maana hawa ndiyo wa level yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom