Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 23,130
- 48,187
No hakuna shida sister let's keep on limeisha hilo sema na wewe unaonekana ni pisi kali wahuni wakisota wanakimbia mara nyingi wahuni wanaogopa kukaa na mzigo mkali..Nakuharibia?
Sorry kaka
Natania tu
Sasa kama unaandika vya uongo unategemea huo u single ndo utakutoka...?Nawe unachukua Kila nnachoandika kama kilivyo?😁
Haya mwanga wa u single uninagaze.. nizeeke Kwa amani🤣
MwehNo hakuna shida sister let's keep on limeisha hilo sema na wewe unaonekana ni pisi kali wahuni wakisota wanakimbia mara nyingi wahuni wanaogopa kukaa na mzigo mkali..
Niwe serious Kwa lipi jipya hapa?Sasa kama unaandika vya uongo unategemea huo u single ndo utakutoka...?
Maini hayazeeki oohh wewe na sister Seran ni kazi kazi...Mweh
Mdogo wangu mie mwajuma ndala ndefu.tayari mama wa makamo nshazeeka zamani
Hayao yapo Kwa watoto wa 2000
Hizo wahuni wanasema namba tu kama za kwenye calculator..
Nishajizeekea mimi mkuu tunawasapoti wadogo zetu tu wasiwe kama sisi😎Maini hayazeeki oohh wewe na sister Seran ni kazi kazi...
Ondoa hiyo EGO watu tukutoe kwenye u single!, we ukiwashwa hata mgongo unaenda kujikuna ukutani umekuwa mbuzi wewe...?😂Niwe serious Kwa lipi jipya hapa?
Labda kama lipo,ila mi silioni🤣
🤣🤣CV yangu hii
Naishi mkuzo
Sina dini
Sina kazi yaani jobless
Ni mfupi sana na mnene
Nina watoto wanne
Naishi nyumba ya urithi
Kwakuwa we ni muajiriwa naomba unilee mi ntakuwa marioo wako.
Umri wangu ni miaka 53.
Pia nina juhudi za kulima
Na niko na chale mwili mzima
cold water naomba unikubalie
We wa kike au wa kiume?
Tangazo halionyeshi Jinsia yako
Ndugu mtafutaji😊
OkayMimi ni ke,Natafuta mchumba umri miaka 34, sifa na muomekano mwembamba mweupe,mrefu kidogo awe muajiriwa wa Songea Ruvuma ,makazi yawe ya kudumu huku songea,dini roman....mimi pia ni muajiriwa karibu dm....usiwe na familia kuanzia watoto wawili ,labda mmoja tu .awe tayari kupima afya.
huyo wa kunitoa kwenye usingle kwanza yuko wapi..Ondoa hiyo EGO watu tukutoe kwenye u single!, we ukiwashwa hata mgongo unaenda kujikuna ukutani umekuwa mbuzi wewe...?😂
Ameedit.hakutajaYeye Ni ke
Mi na wanaume wa jf nimekoma.sitaki
Nimemsaidia kumkumbusha tu
Soma madaMiaka 34 mwanamke utampata wapi ambaye hajaolewa na kuwa na mtoto? Labda upate single mother