Natafuta mchumba

Weka picha yako kwanza tuone tupime mibinuko, mikunjo na miinuko.
 
Daah aisee nakosa mke kisa dini

Mimi ni jirani yako kabisa sijui upo mitaa gani hapa songea mimi nipo msamala
 
Dah! Zari ilo,sema ndio ivyo me nipo kwa Chalamila! Ningekuoa mke wa pili ukae mjengoni somewhere!

Njoo uishi Dar ule mishkaki ya samaki we Mngoni! huko songea utakutana na watani zangu wangoni walevi tu.hao Bora uwape pesa watafikisha ila sio Ke"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…