Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,563
- 22,837
NI dume huyo, ID mpya hiyo hawez new member akajiunga na kuanza kutafuta mchumbaBro. Judy0 kazingua
NI dume huyo, ID mpya hiyo hawez new member akajiunga na kuanza kutafuta mchumbaBro. Judy0 kazingua
Huu utani mkuu! Hivi mtu anatafuta mchumba jf kweli? Unakuta n mwanaume anataka kuwa piga maboyaMh! andiko lako si serious sana japo kitu unachokiomba ni kitu serious!..
Mi naona umetumia mhemko kuomba kitu cha maisha!, mume ni wakuja kuishi nae ndani na nje lazima muwe wote serious!..
siku yako yakuzaliwa isikufanye tu ndo utafute huyo mume!, ila yote kwa yote nikutakie heri ya kuzaliwa maisha mema na mafanikio yenye baraka bila kusahau watoto wazuri wenye afya ya akili na mwili.
akiwa serious mtu anapata wana jf ndio haohao watu wanaopatikana mtaani mkuu...Huu utani mkuu! Hivi mtu anatafuta mchumba jf kweli? Unakuta n mwanaume anataka kuwa piga maboya
Uliandikaje mwanzoniNyie mood mmebadili title yangu. Msingi wa maelezo yangu umepotoshwa wote.
SIHITAJI MCHUMBA!
Mkuu nishawahi, kupata kama mbili hivi moja nyembamba, nyingine toto inamakalio kama land-rover ya masaweakiwa serious mtu anapata wana jf ndio haohao watu wanaopatikana mtaani mkuu...