Natafuta mchumba....!!!

Usijali kaka mi nitakusaidia, kuna dada fulani tunafanya naye kazi elimu yake nzuri nadhani itakuwa diploma, aliwahi kunitonya kuwa anataka mshikaji wa ku-make naye lyf anasema amechoka kukaa single. Kama hutojali nipe email yako au any contact nikuunganishe naye mtaelewana wenyewe. Kwa ufupi ni mwanamke mzuri na anafaa kuolewa.
 
mhhhhhh!!!!!!!!!!! siunasema dada mwenyewe kachoka? naukijaribu kusoma maelezo ya bwana mkubwa anamtaka mwenye umri chini ya miaka 24, angalia bro usije ukamuunganisha na ajuza!
 
Nimechonga naye leo ana 23yrs, ana diploma ya community development anadai amechukulia chuo fulani huko mbeya, kabila lake ni mkurya ila kwa sasa yuko kikazi huku kigoma
 
Natafuta mchumba mwenye zifa zifuatazo....Awe na Elimu kuanzia 4m four,(1)awe na kazi ya kuweza kutulisha wote wawili na watoto hapo baadae,awe ni mwanamke hiyo tisa kumi awe mwaminifu na mvumilivu,(2)umri awe chini ya miaka 24.

1. Kwani mdogo wangu we myao au mkongo?bold no.1
2. Alafu unatafuta mke awe under 24yrs...................kama uko serious basi unatafuta matatizo.

Subiri ukue kwanza...................jijenge kimaisha..............jipe muda wa kupevuka kiakili kabla ya kuanza kufikiria kuingia kwenye majukumu ya ndoa......au unadhani ndoa ni BIG G?....................UNA HARAKA GANI???

Usijali kaka mi nitakusaidia, kuna dada fulani tunafanya naye kazi elimu yake nzuri nadhani itakuwa diploma, aliwahi kunitonya kuwa anataka mshikaji wa ku-make naye lyf anasema amechoka kukaa single. Kama hutojali nipe email yako au any contact nikuunganishe naye mtaelewana wenyewe. Kwa ufupi ni mwanamke mzuri na anafaa kuolewa.

Unajiingiza kwenye complications mkuu..............jiandae kusolve kesi kila kukicha.............
 
Natafuta mchumba mwenye zifa zifuatazo....Awe na Elimu kuanzia 4m four,awe na kazi ya kuweza kutulisha wote wawili na watoto hapo baadae,awe ni mwanamke hiyo tisa kumi awe mwaminifu na mvumilivu,umri awe chini ya miaka 24.
unamtaka mwenye kazi ya kuwalisha wote wawili kwa sababu gani? Kwa nini usimtafute ambae utamlisha wewe? Kijana we mvivu! Fanya kazi.
 
haya kina dada kazi kwenu,mshkaji kashasimamisha hapo anataka wa kumchakachua then amwache,ila kama angekuwa anataka wa kumuoa mi ningekuwa tayari!
 
Natafuta mchumba mwenye zifa zifuatazo....Awe na Elimu kuanzia 4m four,awe na kazi ya kuweza kutulisha wote wawili na watoto hapo baadae,awe ni mwanamke hiyo tisa kumi awe mwaminifu na mvumilivu,umri awe chini ya miaka 24.
Ni aibu na fedheha kwa mwanaume kujinasibu namna hii hadharani, hiyo red ni ishara wewe ni mzigo!hatukupi mke.
 
1. Kwani mdogo wangu we myao au mkongo?bold no.1
2. Alafu unatafuta mke awe under 24yrs...................kama uko serious basi unatafuta matatizo.

Subiri ukue kwanza...................jijenge kimaisha..............jipe muda wa kupevuka kiakili kabla ya kuanza kufikiria kuingia kwenye majukumu ya ndoa......au unadhani ndoa ni BIG G?....................UNA HARAKA GANI???

Nafikiri yeye ana miaka 25.....mhhhh!!!!
 
Ok..mm ninaelimu zaidi ya 4m...
Ukijithaminisha kwa kusema una elimu zaidi ya form 4 unamaanisha form 6 hujamaliza.Nakushauri piga kwanza book angalau life ikae kwenye mstari ndo utafute demu/mke/mlupo/kimada n.k.Kwa sasa utaishiwa kugongewa tu kama huna kitu halafu unatafuta demu ''matawi'' wa kuweza kukulisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom