Sungura dume
JF-Expert Member
- Mar 28, 2016
- 574
- 529
Akipatikana ntaleta mrejesho
Hahahaaaaa la sivyo watoto wazuri wote ataishia kuwaita shemeji 😂😂😂😂😂😂ndo hivyo Mkuu, yy akisubiria dodo lidondoke chini wenzake wanalishusha kwa mawe au wanalifuata huko huko juu (lazma utumie nguvu kupata vizuri).
😀😀😀😀 atawaita shemeji huku roho inauma.Hahahaaaaa la sivyo watoto wazuri wote ataishia kuwaita shemeji 😂😂😂😂😂😂