Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,668
Maelezo yake kama mwanaumeNi mdada bhanaa
Maelezo yake kama mwanaumeNi mdada bhanaa
Wivu utakukondesha my dearmnajaza tu uzi wa watu apaa kapeaneni hukooo
Wivu unamsumbuaJamanii ndio wivu tena mama ivuga?
Acha kuharibu basiHaha la bati hyo
Nafikiri ulisha nipata kumbe badoHahhaa,kuanzia April ndio nitaanza rasmi mingle


Achana nae asituharibie mambo yetu.Mmh ngoja nikae pembeni![]()
![]()
Achana na kile kizombie ujue kila mmoja anapambana na hali yake saizi.Inna namuheshimu![]()
![]()
Hahaha eti awe na kazi nzuriMimi natafuta mchumba awe mweupe mrefu wa stani awe na elimu nzuri i mean degree nakundelea.
Umri 36 - 50 hata kama unawatoto mimi sawa tutatunza.
Awe mcheshi ila sio kuzidi.
Awe na kazi nzuri.
Awe muelewa mstaarabu akubali kubadilika.
Asiwe anapiga .
Mimi ni mkristo umri 27
Mimi ni madam /mwanadada
Kama upo serious ni pm
Wenye hasira msinipm
Pambaneni tuu kwa kweliAchana na kile kizombie ujue kila mmoja anapambana na hali yake saizi.
Tatizo tukiomba usajili mnaaza nyodo mara bachelor yako ya Gentleman huezi kuwa nami. Ngoja waje wenye sifaMimi natafuta mchumba awe mweupe mrefu wa stani awe na elimu nzuri i mean degree nakundelea.
Umri 36 - 50 hata kama unawatoto mimi sawa tutatunza.
Awe mcheshi ila sio kuzidi.
Awe na kazi nzuri.
Awe muelewa mstaarabu akubali kubadilika.
Asiwe anapiga .
Mimi ni mkristo umri 27
Mimi ni madam /mwanadada
Kama upo serious ni pm
Wenye hasira msinipm
Badae niskuskie unanbembelezaAchana na kile kizombie ujue kila mmoja anapambana na hali yake saizi.