natafuta mchumba(wife)

natafuta mchumba(wife)

Gangnyota

Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
35
Reaction score
19
me n mwl. wit 25 yrs, nna house moj na gar moj ndogo ya kutembelea, natafuta mchumba atakaekuja kuwa mke baadae, mref, co mnene san, co mweupe san, aliye na vgezo na yuko interested tuwacliane, 0683218718.
 
wenzio wanatafuta wachumba huko juu.....
sisi hapa tutakuja kuwashauri mkishatibuana....
kila la heri
 
Kama wewe ni Mwl mbona una fursa nyingi zimekuzunguka ivo? huzioni tu Mkuu!
 
Loh! Una nini na nini?? Yani ushaingia choo cha kike subiri utoke!! Otherwise kama unatafta wa kula naye guudtime!! Nakupa pole! Ila kila la kheri!! Mke mwema mtu hupewa na bwana!!
 
wewe ni mwalimu wa level gani? chuo, secondary, chekechea?
 
me n mwl. wit 25 yrs, nna house moj na gar moj ndogo ya kutembelea, natafuta mchumba atakaekuja kuwa mke baadae, mref, co mnene san, co mweupe san, aliye na vgezo na yuko interested tuwacliane, 0683218718.

Mmmh.... Kulikuwa na haja ya kutaja mali zako?
 
me n mwl. wit 25 yrs, nna house moj na gar moj ndogo ya kutembelea, natafuta mchumba atakaekuja kuwa mke baadae, mref, co mnene san, co mweupe san, aliye na vgezo na yuko interested tuwacliane, 0683218718.

Na utawapata wengi wapenda hivyo vitu.best of lucky umesimplify kazi hope soon watamiminika.
 
Gari unayo mmoja tu ya kwako, ya mchumba jee?? wambie pia ipo si umeamua kutaja asset
 
me n mwl. wit 25 yrs, nna house moj na gar moj ndogo ya kutembelea, natafuta mchumba atakaekuja kuwa mke baadae, mref, co mnene san, co mweupe san, aliye na vgezo na yuko interested tuwacliane, 0683218718.

Mwalimu unaandika hivi..... Ndio.maana wanafunzi wanaishi kuchora mazombiiieee!!!!
 
Na utawapata wengi wapenda hivyo vitu.best of lucky umesimplify kazi hope soon watamiminika.
Asipate shida kuendelea kutafuta, mimi nimeshampenda kwa kuwa ana gari. Aje tu mimi niko tayari anipakie tuondoke.
 
Teh teh teh beba na mabag kabisa upakie kwenye boot kuna nyumba huko utafikia mama mwenye nyumba mtarajiwa.maisha si ndio hayo very simple Binti.com
 
Mie ningekuwa mwalimu halafu nina gari kama wewe...ningekuwa nishajitwalia denti mmoja awe waifu maana kwa namna wanavyopenda lifti lol...
 
Kama self expression ya mwalimu ipo hivyo, hizo product sijui zitakuwaje! ngoja tuiombe serikali iongeze na division six
 
Jaman baba kwan mama hakutoshi

Ananitosha hadi imepitiliza douta...ila hapa nilikuwa nampa mbinu huyu kijana za kuepukana na fedheha wakati rasilimali anazo karibu yake :becky:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom