natafuta mchumba(wife)

natafuta mchumba(wife)

me n mwl. wit 25 yrs, nna house moj na gar moj ndogo ya kutembelea, natafuta mchumba atakaekuja kuwa mke baadae, mref, co mnene san, co mweupe san, aliye na vgezo na yuko interested tuwacliane, 0683218718.

Kama mwalimu anaandika hivi, sipati picha hao wanafunzi wanaandikaje. Lakini kila la kheri teacher.
 
me n mwl. wit 25 yrs, nna house moj na gar moj ndogo ya kutembelea, natafuta mchumba atakaekuja kuwa mke baadae, mref, co mnene san, co mweupe san, aliye na vgezo na yuko interested tuwacliane, 0683218718.
hivyo bado havijakamilika,,ukienda UKWENI utauliziwa hii.............
TemboCard.jpg
 
ndugu kama wewe domo zege wewe ni domo volucano

me n mwl. wit 25 yrs, nna house moj na gar moj ndogo ya kutembelea, natafuta mchumba atakaekuja kuwa mke baadae, mref, co mnene san, co mweupe san, aliye na vgezo na yuko interested tuwacliane, 0683218718.
 
Hahaahaha umeanza kutangaza Mali waonekana unamapungufu sana hi yo umeweka Mali km chambocha kukupata mapenzi ni zaidi ya gari na nyumba bro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom