Natafuta Mchumba wa kuoana naye.

Natafuta Mchumba wa kuoana naye.

wewe umeahondwa kamatia huko marekani kwenye watasha wa kweli unatafuta kwenye jf!! plus huko kuna dating sites mia ishirini kidogo...toa upuuzi wako
 
Mkuu, mtaalamu wa 'yale masuala yenu' yapi, au labda unatoka Kagera???
Ahahahaaaaaa, anatoka kagera sehemu moja inaitwa 'siku ya gulio kat..r....ro!


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kumbe huko majuu pia mnatakaga kuolewa?kweli ndoa ni ajira ya kudumu
 
wewe umeahondwa kamatia huko marekani kwenye watasha wa kweli unatafuta kwenye jf!! plus huko kuna dating sites mia ishirini kidogo...toa upuuzi wako

wenzio wanachangamkia bahati wewe unabaki kutoa povu tu.
 
wenzio wanachangamkia bahati wewe unabaki kutoa povu tu.

mwe!!! kuna mtu hapa aliweka post ya watu walioweza kupata mke/husband pitia jf mbona hawajajitokeza....kwanza wa hapa ma great thinkers hawatoi papuchi kirahisi mpaka upigane vita ya miaka ...inatoboa mifuko hiyo bana. wacha nibaki na junk women wangu kama anavyowaita bi natalia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom