Natafuta Mchumba wa kuoana naye.

J

Jnchimbi

Member
Joined
Dec 4, 2011
Messages
37
Points
0
J

Jnchimbi

Member
Joined Dec 4, 2011
37 0
Mimi ni msichana nina miaka 27, ninatafuta mchumba mwenye mapenzi ya kweli,asiwe mlevi wa kilevi chochote,sichagui dini,rangi wala kabila,ambaye atakuwa tayari tuanzisha familia,awe tayari tupime ukimwi.Mimi kwa sasa naishi na kufanya kazi hapa Austin Texas USA,si lazima awepo hapa Marekani hata akiwa Tanzania au popote pale kwangu haina shida kwa sababu tutajitahidi kwa pamoja tuonane kwa kuja huku nilipo au mimi kumfuata Tanzania. Tafadhali naomba kwa aliye serious tu aniandikie kwenye email hii;

anneyfr@yahoo.com
 
englibertm

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Messages
9,255
Points
2,000
englibertm

englibertm

JF-Expert Member
Joined May 1, 2009
9,255 2,000
Mchumba wa kwenye mtandao?
 
Majigo

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
5,416
Points
1,250
Majigo

Majigo

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
5,416 1,250
Mbona amesema yeye ni msichana.....nini kisicho eleweka "Mimi ni msichana nina miaka 27,....." Mstari wa kwanza kabisa.
Ahsante Mkuu!! Uzee Unanipeleka Puta Wala Sikutambua Hilo!
 
S

Smarty

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
738
Points
250
S

Smarty

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
738 250
wachumba Tz wameisha wamebaki wasebule na wastoo..
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,072
Points
1,500
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,072 1,500
natamani eneo la makutano liwe US kwa Natalia
 
Majigo

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
5,416
Points
1,250
Majigo

Majigo

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
5,416 1,250
Mimi Nina Vigezo Vyote,Na Nina Kawaida Ya Kumpenda Na Kumlinda kwa nafsi yangu Yote, Yule Anipendae Kwa Dhat!i....
Vipi Kuhusu vigezo Vya Kazi,
Elimu Na
Umri?
 
Root

Root

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
30,055
Points
2,000
Root

Root

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
30,055 2,000
Mmmmh 27 hujatokewa wala kuchumbiwa basi una tatizo.
Yaani mama tokea huko hujapendwa au kupenda hadi ulipofikia mmmmh haya bana USED
 
MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
1,478
Points
1,195
MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
1,478 1,195
Mimi nio safi kabisa na mtaalamu katika maswala yetu yale ambayo yatajufanya usitoke njeea ya ndoa.
 
Power G

Power G

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Messages
3,909
Points
1,225
Power G

Power G

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2011
3,909 1,225
Mimi nio safi kabisa na mtaalamu katika maswala yetu yale ambayo yatajufanya usitoke njeea ya ndoa.
Mkuu, mtaalamu wa 'yale masuala yenu' yapi, au labda unatoka Kagera???
 
mysteryman

mysteryman

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Messages
983
Points
0
mysteryman

mysteryman

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2011
983 0
Mimi tatizo ni moja tu nauli ya kufika huko amerika sina..
 
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
2,697
Points
1,195
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2012
2,697 1,195
Mimi ni msichana nina miaka 27, ninatafuta mchumba mwenye mapenzi ya kweli,asiwe mlevi wa kilevi chochote,sichagui dini,rangi wala kabila,ambaye atakuwa tayari tuanzisha familia,awe tayari tupime ukimwi.Mimi kwa sasa naishi na kufanya kazi hapa Austin Texas USA,si lazima awepo hapa Marekani hata akiwa Tanzania au popote pale kwangu haina shida kwa sababu tutajitahidi kwa pamoja tuonane kwa kuja huku nilipo au mimi kumfuata Tanzania. Tafadhali naomba kwa aliye serious tu aniandikie kwenye email hii;

anneyfr@yahoo.com
unawatafuta ubaya kaka zetu wafikikrie kuishi majuu
 
Swts

Swts

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Messages
3,068
Points
1,195
Swts

Swts

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2012
3,068 1,195
utapata tu mwombe Mungu!mume mwema anatoka kwake
 
Fpam

Fpam

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Messages
290
Points
0
Fpam

Fpam

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2011
290 0
please naomba unipe assurance kwamba sehemu ya kukutana itakuwa US, sasa ndo ile ndoto yangu ya kufika US itakapo timia

ama kweli ndo inaelekea kutimia sasa
 
Binti Magufuli

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Messages
7,486
Points
2,000
Binti Magufuli

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2011
7,486 2,000
unawatafuta ubaya kaka zetu wafikikrie kuishi majuu
hapa atakayejitokeza atachumbia USA kama eneo lakin sio wewe kama binadam,akishaujua mji ndo utakoma na vituko vyake bidada!omba Mungu atakujibu kwa wakati!kuna watu Wako very ambitious kwenda nje ndugu ucje beba kizunguzungu a.k.a majanga ukijua ni mchumba mwaya
 
Christine1

Christine1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
12,869
Points
2,000
Christine1

Christine1

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
12,869 2,000
Watu kama nyinyi, kwanini mnafikiri mwanamke lazima kuolewa akiwa na umri fulani au mtu asipoolewa anakasoro?
Umeonaee,yaan wananiboa mpaka bac....kwanza ckuhiz kuolewa mpaka 35 kawaida sn
 
herrypeter1

herrypeter1

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2009
Messages
224
Points
0
herrypeter1

herrypeter1

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2009
224 0
Mimi ni msichana nina miaka 27, ninatafuta mchumba mwenye mapenzi ya kweli,asiwe mlevi wa kilevi chochote,sichagui dini,rangi wala kabila,ambaye atakuwa tayari tuanzisha familia,awe tayari tupime ukimwi.Mimi kwa sasa naishi na kufanya kazi hapa Austin Texas USA,si lazima awepo hapa Marekani hata akiwa Tanzania au popote pale kwangu haina shida kwa sababu tutajitahidi kwa pamoja tuonane kwa kuja huku nilipo au mimi kumfuata Tanzania. Tafadhali naomba kwa aliye serious tu aniandikie kwenye email hii;

anneyfr@yahoo.com
Naweza sema nina mashaka nawe
Uliweka Tangazo mdau dada Anna anatafuta mchumba. ~ JIACHIE

Then upo apa tena, Kuna kitu subiri nione mwisho wake
 
Forum statistics

Threads 1,296,597
Members 498,672
Posts 31,253,387
Top