NATAFUTA MCHUMBA WA KUOA

POLE sna ndgu ww unafanya kazi za kitalii unazunguka sna maeneo mbali mbali umeshndwa kumpata mke kweli? au unataka mke mwenye pesa sbb weng wanaamini jf watu wote ni wasomi na matajiri.ok kila la kheri
Ujinga/ naitaji mtu ambae atakuwa arusha wamawake wa arusha wengi wanaitaji pesa sana na ningeweza kupata ila naitaji mwanamke ambae atanipenda na wala sio kupenda pesa yangu zaidy
 
Nakushauri nenda Shivaz,Pin point kuna wengi sana tena bikra,watakufaa sana.
Vipi low season yote hii unatafuta mwanamke,au ulipiga sana tip msimu uliopita??
Kila la heri!
Mapenzi ayana low season wakat wowote yapo
 
POLE sna ndgu ww unafanya kazi za kitalii unazunguka sna maeneo mbali mbali umeshndwa kumpata mke kweli? au unataka mke mwenye pesa sbb weng wanaamini jf watu wote ni wasomi na matajiri.ok kila la kheri
Kumbe makanjanja tuko kibao 😂
 
NASHUKURU MPAKA SASA WANAWAKE WALIO NIFATA PM WAKO 50

sasa naendelea kuasiliana nao taratibu kisha nazani nitakuwA nimepatA ninacho kitaka asanten sana wanawake mlio jitolea kuja

PM NA KUONESHA HALI YA UITAJI
MBARIKIWE NA PIA WEWE PIA KAMA NI MWANAMKE UNAWEZA KUJA PM TYKAENDELEA KUJUANA ZAIDI NA PIA

NIKISHA MPATA NATAFUNGA HARAKA NDOA NAE KISHA TUTAKUJA PAMOJA HAPA KUTOA SHUKRANI ZENU HAKIKA JF NI NZURI SANA ,
 
In sha Allah. ...KIKUBWA NI kumtanguliza m.mungu

Kati ya hao 50 wanawake ni 8 na hao 42 waliobaki ni wanaume na wengi wao ni watu wa kitengo ila wanajiita majina ya kike.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom