NATAFUTA MCHUMBA WA KUOA

Wadogo zangu wengi wanafanya hizo mishe
Nisije nikaenda nikambeba mdogo wangu ☠️☠️
 
NASHUKURU MPAKA SASA WANAWAKE WALIO NIFATA PM WAKO 50

sasa naendelea kuasiliana nao taratibu kisha nazani nitakuwA nimepatA ninacho kitaka asanten sana wanawake mlio jitolea kuja

PM NA KUONESHA HALI YA UITAJI
MBARIKIWE NA PIA WEWE PIA KAMA NI MWANAMKE UNAWEZA KUJA PM TYKAENDELEA KUJUANA ZAIDI NA PIA

NIKISHA MPATA NATAFUNGA HARAKA NDOA NAE KISHA TUTAKUJA PAMOJA HAPA KUTOA SHUKRANI ZENU HAKIKA JF NI NZURI SANA ,

Hahahaaa umepata wanawake 50 au ID 50?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom