Bella Ciao
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 1,804
- 4,445
Mmhh. Muongo huyo
Mmhh. Muongo huyo
Mimi ni msichana ninaishi dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu mwembamba , mweupe . Nahitaji mwanaume awe serious na si kunisumbua Pm.
Ukija Pm nitakuhoji maswali nikiridhika ndio tukubalianee
Sent using Jamii Forums mobile app
Jf bwanaWale ambao sijawajibu Pm wasihisi kuwa nawadharau .ila mpaka sasa kuna massage zaidi ya 40 za watu tofautitofauti sasa napata wakati mgum kuzijibu zote . Hivyo wawe na subira
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakwambia alikuwa anajifanya mwanaume eti sababu amesikia wanaume wa humu ni wasumbufuMmhh. Muongo huyoView attachment 1336744
anatafuta kupata uhakika wa ID za Me na Ke
Ushasema wewe, huyo ni ke huoni hata uhandishi wakeKuna atakayekuja kusema mleta mada ni wa kiume
anatafuta kupata uhakika wa ID za Me na Ke
Achana nao turudi kwenye siasa za mapenzi Sasa. Wazungu wanaita Love politics, wewe uko mrengo gani hasa kiitikadi?Labda nimalizie kwa kutoa maelezo ya mwisho baada ya hapa sitaongea bali nitakuwa natoa muendelezo wangu kuanzia kutafuta mchumb mpaka kuolewa.
Kwanza siwez kumuaminisha mtu asilimia mia moja kuwa mi ni msichana na sio mvulana. Hivyo nitaacha wanaopotosha kuwa mi mvulana waendelee na aliyeserious na kuoa najua kama anataka uhakika atakuja nyumban nikishamuelekeza
.
Ila pia siwez kuwalaumu wanaohic kuwa mimi sio msichana kwani sms zangu za awali zinawaigopesha. Ila nikwanini niliamua kujivika uhusika ule ?
Jibu ni kuwa jf hii inawatu tofauti wengine ni wema wengine wachafu na wako tayari kuharibu maisha ya sisi waschana kwa gharama yeyote ile. Mfano wapo wanawake washaharibiwa maisha yao humu. Sasa ni vigum kuwa safe ikiwa we unajulikana kama mwanamke na haujaolewa bora ukiwa umeolewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hautafti ?Mkuu,funga PM
Acha porojo za kudai unasumbuliwa wakati kimsingi sio kweli
Kwa hiyo wewe na baba yako mnataka ukawe huru chuoni baada ya kuolewa?Kwasasa bado sijaelewana na mtu japo pm wapo wengii ila kuna kitu nataka uelewe ni kuwa.
Mimi bado inatakiwa niendelee kusoma kwani matokea yangu ya kidato cha nne ni mazuri . Na baba alinizuia nisiendelee mpaka nitakapoolewa kwani kusoma vyuo hivi ambavyo watu wapo huru ni mtihan. Hivyo anaekuja kutaka kunioa lazima ajue kuwa bado nahitaji kusomaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko serious Kuna ID inatafutwa humu..sijui wapi niliipinga serikali hii Mimi, ngoja nipitie comments zanguWewe unahitaji ndoa au kuingia kwenye tanuli la moto yaani mwanaume usimchunguze tabia kama anafaa kuwa kiongozi bora wa familia yako wewe unachohitaji afike kwenu kukamilisha taratibu hauko serious.
Wapo tupo pm siku ya tatu leo hujibu pm?,tutaacha kuamini kinachoongelewa ni kweliLabda nimalizie kwa kutoa maelezo ya mwisho baada ya hapa sitaongea bali nitakuwa natoa muendelezo wangu kuanzia kutafuta mchumb mpaka kuolewa.
Kwanza siwez kumuaminisha mtu asilimia mia moja kuwa mi ni msichana na sio mvulana. Hivyo nitaacha wanaopotosha kuwa mi mvulana waendelee na aliyeserious na kuoa najua kama anataka uhakika atakuja nyumban nikishamuelekeza
.
Ila pia siwez kuwalaumu wanaohic kuwa mimi sio msichana kwani sms zangu za awali zinawaigopesha. Ila nikwanini niliamua kujivika uhusika ule ?
Jibu ni kuwa jf hii inawatu tofauti wengine ni wema wengine wachafu na wako tayari kuharibu maisha ya sisi waschana kwa gharama yeyote ile. Mfano wapo wanawake washaharibiwa maisha yao humu. Sasa ni vigum kuwa safe ikiwa we unajulikana kama mwanamke na haujaolewa bora ukiwa umeolewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa mpendwaYuko serious Kuna ID inatafutwa humu..sijui wapi niliipinga serikali hii Mimi, ngoja nipitie comments zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwandiko sio was form 4 huo. Mwandiko Ni wa mtu matured kabisa huo, probably beyond 30Anakwambia alikuwa anajifanya mwanaume eti sababu amesikia wanaume wa humu ni wasumbufu
Mtoto mdoooogo, mbichiiii kwa enzi izo asingeweza kuthubutu ata kuandika haya! Huyu wa sasa ameshagongwa gongwa kwa umri wake huo adi amekata tamaa ya kukutana na mume wake alopangiwa na Mungu kaja kutafuta mitandaoni