Natafuta mchumba wa kunioa

Hii nayo kali

Hivi dia babu Asprin si ulisema kaka angu mpendwa Mgugu anatakiwa kuoa huu mwaka?
Mmhh. Muongo huyo
Screenshot_20200127-120628.jpeg
 
Mimi nina sifa zote ila ni muoga sana wa intaviu
Mimi ni msichana ninaishi dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu mwembamba , mweupe . Nahitaji mwanaume awe serious na si kunisumbua Pm.
Ukija Pm nitakuhoji maswali nikiridhika ndio tukubalianee

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda nimalizie kwa kutoa maelezo ya mwisho baada ya hapa sitaongea bali nitakuwa natoa muendelezo wangu kuanzia kutafuta mchumb mpaka kuolewa.

Kwanza siwez kumuaminisha mtu asilimia mia moja kuwa mi ni msichana na sio mvulana. Hivyo nitaacha wanaopotosha kuwa mi mvulana waendelee na aliyeserious na kuoa najua kama anataka uhakika atakuja nyumban nikishamuelekeza
.
Ila pia siwez kuwalaumu wanaohic kuwa mimi sio msichana kwani sms zangu za awali zinawaigopesha. Ila nikwanini niliamua kujivika uhusika ule ?

Jibu ni kuwa jf hii inawatu tofauti wengine ni wema wengine wachafu na wako tayari kuharibu maisha ya sisi waschana kwa gharama yeyote ile. Mfano wapo wanawake washaharibiwa maisha yao humu. Sasa ni vigum kuwa safe ikiwa we unajulikana kama mwanamke na haujaolewa bora ukiwa umeolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nao turudi kwenye siasa za mapenzi Sasa. Wazungu wanaita Love politics, wewe uko mrengo gani hasa kiitikadi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasasa bado sijaelewana na mtu japo pm wapo wengii ila kuna kitu nataka uelewe ni kuwa.
Mimi bado inatakiwa niendelee kusoma kwani matokea yangu ya kidato cha nne ni mazuri . Na baba alinizuia nisiendelee mpaka nitakapoolewa kwani kusoma vyuo hivi ambavyo watu wapo huru ni mtihan. Hivyo anaekuja kutaka kunioa lazima ajue kuwa bado nahitaji kusomaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wewe na baba yako mnataka ukawe huru chuoni baada ya kuolewa?

Mtatuua wanaume nyie mabinti jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda nimalizie kwa kutoa maelezo ya mwisho baada ya hapa sitaongea bali nitakuwa natoa muendelezo wangu kuanzia kutafuta mchumb mpaka kuolewa.

Kwanza siwez kumuaminisha mtu asilimia mia moja kuwa mi ni msichana na sio mvulana. Hivyo nitaacha wanaopotosha kuwa mi mvulana waendelee na aliyeserious na kuoa najua kama anataka uhakika atakuja nyumban nikishamuelekeza
.
Ila pia siwez kuwalaumu wanaohic kuwa mimi sio msichana kwani sms zangu za awali zinawaigopesha. Ila nikwanini niliamua kujivika uhusika ule ?

Jibu ni kuwa jf hii inawatu tofauti wengine ni wema wengine wachafu na wako tayari kuharibu maisha ya sisi waschana kwa gharama yeyote ile. Mfano wapo wanawake washaharibiwa maisha yao humu. Sasa ni vigum kuwa safe ikiwa we unajulikana kama mwanamke na haujaolewa bora ukiwa umeolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo tupo pm siku ya tatu leo hujibu pm?,tutaacha kuamini kinachoongelewa ni kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto mdoooogo, mbichiiii kwa enzi izo asingeweza kuthubutu ata kuandika haya! Huyu wa sasa ameshagongwa gongwa kwa umri wake huo adi amekata tamaa ya kukutana na mume wake alopangiwa na Mungu kaja kutafuta mitandaoni

Kwambaaa, kagongwa gongwa hadi kajikatia tamaa

Happy dude
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom