Natafuta mchumba wa kike

Ukishaitwa Dennis sidhani kama ungetafuta mchumba wa kiume.Mola awe nawe.
 
Hii nafasi ya kipekee kabisa inatakiwa mabinti wachangamke sana......tena nashauri watu wenye majina haya wawahi nafasi, ni moja ya majina yenye bahati sana kuwa wake wa viongozi ANNA, JANETH, MARIA kama una jina moja wapo hapa mpigie simu mheshimiwa uchumba uanze mara moja, hautajutia.

min -me Shimba ya Buyenze
Mheshimiwa anatafuta jiko
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…