wewe una matatizo ya akili,nenda kijijini k wenu katafute demu acha upunguani,utapata wapi mchumba hapa watu wanoangelea mambo ya muhimu kwenye nchi
uko bar gani nikuchek?!wewe una matatizo ya akili,nenda kijijini k wenu katafute demu acha upunguani,utapata wapi mchumba hapa watu wanoangelea mambo ya muhimu kwenye nchi
labda guests lakini members nakuhakikishia wameisha.sijakuelewa ulivyosema umri uzidi 22! Ina maana hata 50+ unabeba?nina bibi yangu anatafuta wa kumalizia nae maisha.Natumia rangi hii kwa sababu ya mada niliyoitoa. Nataka mchumba anayejiheshimu, mwenye upendo wa dhati, anayejiamini, anayependa kuonya na kushauri, muwazi na mvumilivu na awe na umbo kuanzia wastani mpaka mnene kiasi up to 70kg, rangi yoyote na awe na uwezo kiwango kuanzia wastani mpaka cha juu kifedha , Najua mapenzi hayana kanuni huanza kwa namna yoyote ile hivyo nimeona ni vyema nitumie ubao ili wenye hitaji kama langu watumie fursa hii kuwasiliana na mimi.
Natumia rangi hii kwa sababu ya mada niliyoitoa. Nataka mchumba anayejiheshimu, mwenye upendo wa dhati, anayejiamini, anayependa kuonya na kushauri, muwazi na mvumilivu na awe na umbo kuanzia wastani mpaka mnene kiasi up to 70kg, rangi yoyote na awe na uwezo kiwango kuanzia wastani mpaka cha juu kifedha , Najua mapenzi hayana kanuni huanza kwa namna yoyote ile hivyo nimeona ni vyema nitumie ubao ili wenye hitaji kama langu watumie fursa hii kuwasiliana na mimi.
hahahah !! andika herufi za mwanzo za majina yao ..inatoshaWapo ila kutaja majina ndo naogopa kuwekwa burn.