natafuta mchumba-serious pls no jokes!!

huu unafiki wa dini sijui utaisha lini hapa Tanzania. Umembagua binadamu mwenzako kwa misingi ya dini halafu eti 'Mungu' awasaidie na huyo ulijitengenezea mwenyewe.
Jifunzeni kuhusu Mungu, habagui wala hashabikii timu fulani.
Halafu huyo Baba wa mtoto wako vipi? Yeye haruhusiwi ku-apply, au Mungu alimkataa baada ya kuwapa baraka ya Mtoto.
Halafu una shahada? Ndiyo maana kuna member humu ameamua kutafuta Bar-maid. Hao huwa siyo wanafiki.
 
huyo aliekuzalisha yuko wapi?

inaonekana wewe mtata,

itakua imekula kwako, japo natafuta siko radhi

kuoa demu aliyezalishwa
 
huyo aliekuzalisha yuko wapi?

inaonekana wewe mtata,

itakua imekula kwako, japo natafuta siko radhi

life is not as straight as it seems my dear. just a polite advice; never judge a person you hardly know,for you do not know what's behind the ID. Thank you for your contribution anyway.

 
Tatizo ulikuwa unaringa sana ulipokuwa Chuo, kiko wapi sasa?
Wenzako wote washaolewa, wametulia na familia zao, wewe si ulikuwa hupendi wabongo wewe? L.M.F.A.O
Kwanza una miaka 31 au 33? Usitake kumwingiza mwanaJF choo cha stendi, mana posti zako zilizopota ulisema unamiaka 33, urefu ni 152cm na uzito ni 54kg. LOH
 
ha ha ha mmi niko serious niambie unataka sifa gani niwe nazo nashukuru kwa kupitia forum naweza kutanishwa na mwenzi wangu wa maisha sema Fe Lady mwaga sifa zako
 
mh! Jaman wana jf mbona wakal msipende kujaj ki2 unachokiona au usichokiona kwan alipenda you just asept the aplication or reject no comment alowed
 
We mwanamke una dharau sana, yani mwanaume ambaye hana degree hawezi kukuoa? Jambo la msingi katika mahusiano ni upendo, bado una safari ndefu...
 
Mmeanza mautani ee??ningehitaji kabila kwenye hizo sifa ningesema sioni sababu ya kusema kabila langu pia.

Ndio maana huolewi. Nani akurupuke na mjidude hajui unatokea wapi? Eti mimi na akili zangu zoote na elimu ya gheshi niliyorithi kwa mzee Chacha baba yangu nikaoe Muhaya, nye! Hebu sema kabila lako tukuoe huko!

Ila sisi wa Mara hatunaga mvuto wa kisharobaro, na hayo Mambo yako ya mchumba wa kupewa na Mungu hapa sio kanisani. Kama unataka mwenye kumuogopa Mungu, subiri Mungu akupe, sio wewe kujitafutia kwa akili yako ndogo
 
Noella, usikate tamaa dada, yapuuzie madharau na mabezo ya baadhi ya watu humu, watu wasioheshimu hisia za wenzao.
nakutukatakia kila la kheri.
ni mimi Gamba la Nyoka
 
Huo mvuto unaousema, ni wa kufananishwa na nani! Nikushauri tu, fuatilia wanamitindo unaweza kupata unayemtaka, lakini mume ni zaidi ya hayo uliyoandika
 
Dada noela
Awe mrefu je urefu gani plz quantify? So no wafupi! Awe na degree je wenye diploma au certificate hawatakiwi? Cjui upo selective sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom