Natafuta mchumba sasa na njoo

Natafuta mchumba sasa na njoo

Joined
May 23, 2022
Posts
92
Reaction score
339
Mimi ni mrefu futi 6.2 sina ajira nina kazi tu napambana. Ni mkristo na nampenda Yesu. Nina mwili mkubwa tu wa kutosha kuwa na ka kitambi kakufutia simu.

Kwa kusema hivyo,

1. Nahitaji mwanamke awe mrefu,
2. Miaka huwa siangalii sana,
3. Elimu yoyote,
4. Rangi yoyote tu bora isiwe ana amejichubua.
5. Dini awe Rastafari au Mkristo
 
Mkiwa mnavuta bangi wekeni simu mbalii na wewe atleast mita 10 hadi ukimaliza
 
Mimi ni mrefu futi 6.2 sina ajira nina kazi tu napambana. Ni mkristo na nampenda Yesu. Nina mwili mkubwa tu wa kutosha kuwa na ka kitambi kakufutia simu.

Kwa kusema hivyo,

1. Nahitaji mwanamke awe mrefu,
2. Miaka huwa siangalii sana,
3. Elimu yoyote,
4. Rangi yoyote tu bora isiwe ana amejichubua.
5. Dini awe Rastafari au Mkristo
Watakuja😛
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom