poa mkuu usikonde
Heri nipewe ya tigo hapo kiroho safi tutakaa chini
Aiseee mood yangu kanivurugia mtu humu hata sikutegemea,nilimwamini ila pande zote 50/50 .life goes on kwani kama kukomoana watu huwa tuna-save copies,lol
Viol kwahiyo ule ushenga wetu...? Tutapigwa mawe ujue...!Wakuu mi ni kijana nisiyeweza kuweka privancy yangu hapa.
Ila namtafuta msichana ambaye akicoment naona id yake ina zaidi ya miaka 3 JF halafu bikra.
nasubiri wenye vigezo,
hahaha zaidi ya miaka tatu wapo ila....ila kigezo kingine je?
pm nipo serious
miss chagga, bikra yangu ilitoka na baiskeli.. hahaaaaa
yangu nilikuwa nacheza rede haha ha ha
ha ha haha ha h mimi na mwaka mmoja tu
yangu nilikuwa nacheza rede haha ha ha